screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Hii ICECREAM ni moja ya ngoma zilizoniburudisha sana enzi hizo za sekondari na kuufanya ujana wangu ubaki na memories za kuvutia. In short huu wimbo uliitendea haki fasihi kwenye upande wa 'KUBURUDISHA'.
1. Simple Lyrics kutoka kwa Noorah zenye Swaga (kama anavyojiita Babastyles), huyu jamaa sijui kama kuna anayemfikia kwa flow kali kwa rappers wa bongo
2. Chorus Kali kutoka kwa Shekhe Sumalee
3. Beat kali na pengine ndio mdundo mkali zaidi kuwahi kufanywa na Roy enzi za uhai wake
4. #ADAM JUMA ---This man is a living legend, alichofanya kwenye ile video ni kikubwa sana alikuwa mbele ya muda, nilipenda sana creativity aliyoitumia kwenye background jinsi alivyocheza na ile picha ya gari. Wengi kwa wakati huo tulijua ni gari halisi...
***Noorah tafadhali rudi utupe pini moja tu kama hili then urudi kwenu Shinyanga
Sent using Jamii Forums mobile app