Bushman2 Member Mar 18, 2017 49 20 Apr 17, 2017 #1 Umuhofia kwenuuu!, Wakuu nimepata vijisenti vya korosho nataka ninunue hiyo gari Toyota Noah field tourer naamini kwa maeneo yetu itafaa. Kama nakosea munisahihishe. Nawasilisha madongo na vichambo ni ruksa hasa kwa muliokulia uswazi
Umuhofia kwenuuu!, Wakuu nimepata vijisenti vya korosho nataka ninunue hiyo gari Toyota Noah field tourer naamini kwa maeneo yetu itafaa. Kama nakosea munisahihishe. Nawasilisha madongo na vichambo ni ruksa hasa kwa muliokulia uswazi
goodluck mwakipokile JF-Expert Member Nov 11, 2015 250 250 Apr 17, 2017 #2 Maeneo gan mkuu au upareni?