No fear no hate spirit iliishiaga wapi ndugu zangu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
19,857
21,856
Hivi ile falsafa ya no fear no hate ilikuaga ni scam ee? Iliishiaga wapi kwanza..
Au ilibadilika ikawa ni hate kwendra mbele?

Na mbona viongozi na wanachama ni waoga mno saivi, hadi wanaogopana wao kwa wao ndani ya vyama vyao kisiasa..

Kwenye maandamano hawataki kujitokeza, kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa hawataki kuhudhuria, viongozi wao waandamizi wakitiwa nguvuni hawataki kujitokeza na kupiga kelele waachiwe, viongozi wao wakipelekwa mahakamani no fear no hate members hawahudhurii n.k..

Ni nini hasa kimebadilika mpaka kufikia falsafa hii kupuuzwa?

Au imekuwa replaced na 4Rs theory ya Dr. Samia Suluhu Hassan kipenz cha waTanzania?🐒
 
Back
Top Bottom