LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,431
- 12,292
Vijana mmekuwa mstari wa mbele kuisumbua Serikali iwaajiri lakini mkiingia huko mmekuwa ni mizigo kila Sekta hamuwezi kuitumia Elimu mliyonayo kuisaidia nchi
wasomi ambao naona ni Bomu la kwanza na wanaotakiwa kipunguzwa ajira zao ni Wasomi na wataalam wa kilimo hawa ndio namashaka na elimu yao na nini haswa wnachofanya pale Wizara ya kilimo maana kwa sasa Nchi haina sukari wakati ina eneo la kuzalisha Sukari na kuuza nnje ila sisi tunauziwa sukari na nchi kama Malawi, Bei za vyakula zipo juu sana kwa hali ya kutisha na tuna wataalam wa kilimo
Inshort Wataalam wa Sua Serikali inatakiwa iwapunguze hapo Wizarani hawaisaidii nnchi
Wengine ni hawa wanaojiita mainjinia Wa Umeme unakuta mtu anajiita Injinia ila kazi yake kuu ni kuzima umeme na kuwasha, Nchi inapitia mgao ila wataalam wa umeme hawana uwezo wa kusaidia nchi mbinu za kuepuka huu mgao wizara na Nishati na Tanesco panatakiwa wapigwe panga rundo la wanaojiita wataalam