Njia pekee ya kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia condom

Bob12

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
11,422
58,788
Habari za muda huu wakuu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu.

Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni condom.

Hii si kwamba itasaidia kutokomeza ukahaba bali hata ngono zitapungua sana.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…