M mdoghosho JF-Expert Member Jan 1, 2016 969 1,379 Mar 8, 2016 #1 Nahitaji Vifaa vya Chips, niko Dar Kinondoni.... Kama ulikuwa na biashara na huvitumii tena au Kama unaviuza, just tell me tuongee biashara. Nahitaji Jiko, Jiko la Mishkaki, Karai, Kabati la Kiroho, Meza na Viti
Nahitaji Vifaa vya Chips, niko Dar Kinondoni.... Kama ulikuwa na biashara na huvitumii tena au Kama unaviuza, just tell me tuongee biashara. Nahitaji Jiko, Jiko la Mishkaki, Karai, Kabati la Kiroho, Meza na Viti
M mdoghosho JF-Expert Member Jan 1, 2016 969 1,379 Mar 9, 2016 Thread starter #3 dsm-dsm said: Nitafute Click to expand... nipe namba yako tuongee