m-boy
Senior Member
- Aug 20, 2023
- 147
- 479
Habari wana JF
Niliwahi kuandika huku kuhusu ninavyomlea binti yangu wa maika 8 akiwa hana mama, nikimaanisha tunaishi 2 tu nyumbani mimi na binti yangu.
Ninashukuru sana kwa mchango wa mawazo yenu yenye hekima na uadilifu.
Lkn ktk lile bandiko kuna baadhi ya watu walikuja PM na tukajadili mambo mbalimbali, ninashukuru sana kwa wote mlioshiriki na kunishauri kwa namna moja ama nyingine.
Lkn watu walikuja , kuna binti mmoja yeye aliniambia atakuwa rafiki yangu tu. Ila ukweli huyu bint nimemuelewa sana.
Ninahisi ana kilo kama 85-95
Sio mfupi sio mrefu.
Ana miguu minene na mikono ya kike kike
Anavyoongea sasa ameniacha hoi kwake.
Nikiwa kama mwanamme itabidi nimwambie ukweli kuhusu nia yangu kwake.
Jibu lake ni moja tu
ANA MTU WAKE.
Hii kauli imekuwa msumali wa mto ktk moyo wangu, tuliwahi toka mara 2 siku za jumapili tofauti kwenda club japo tuliwahi sana kundoka.
Aliniruhusu nimkumbatie nimshike popote ambapo hapana madhara kushikwa mbele za watu.
Moyo wangu unauma sana kwa sababu nina muhitaji kweli lkn yeye haelewi na mbaya zaidi siku hizi amepoteza furaha na mimi.
Unaweza, kumpigia asipokee lkn hata baada ya kuona kama ulimpigia hafanyi chochote.
Unaweza mtumia sms lkn asikujibu.
Yeye ni member huku pia.
Sijui nimtume mshana au buji buji??
Msaada wanazengo nitumie njia gani sahihi aweze kunielewa, nipo tayali hata kumuowa , msaaad tafadhali