Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Mkuu, mimi natumia TECNO L6.inategemea na aina ya simu uliyonayo, simu yako ni aina gani?
Ujazo wa Battery ni 4,500mAh.
Mkuu, mimi natumia TECNO L6.inategemea na aina ya simu uliyonayo, simu yako ni aina gani?
zidisha tu mara 4 halafu ongeza kidogo maana ukichaji kuna umeme kiasi fulani hupotea. hapo utakuja kama 25,000 mah ili ichaji mara 4Mkuu, mimi natumia TECNO L6.
Ujazo wa Battery ni 4,500mAh.