kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
wapi inapatikana hii nshaisikia sana sana ila haipatikani
Ni kweli kupatikana ni kazi, labda ku order online.
wapi inapatikana hii nshaisikia sana sana ila haipatikani
Bro nicheki kwa namba hiyo 0653482355/0759571114Wife ngozi yake ni delicate sana. Vitu vya jamii ya chuma vinamdhuru kwa kuwashwa na kuota vipele. Poda yenyewe inamsababishia chunusi. Kwa sasa hatumii mafuta yoyote hasa usoni kwani ngozi yake ni ya mafuta pia. Napenda kumwona akiwa na uso mwororo usio na chunusi ila ana hiyo changamoto ya kuharibika ngozi akitumia baadhi ya vipodozi.
Ushauri wenu tafadhali ili na yeye awe na ngozi soft. Atumie vipodozi vya aina gani
ATUMIE GRACE ZOAZOAWife ngozi yake ni delicate sana. Vitu vya jamii ya chuma vinamdhuru kwa kuwashwa na kuota vipele. Poda yenyewe inamsababishia chunusi. Kwa sasa hatumii mafuta yoyote hasa usoni kwani ngozi yake ni ya mafuta pia. Napenda kumwona akiwa na uso mwororo usio na chunusi ila ana hiyo changamoto ya kuharibika ngozi akitumia baadhi ya vipodozi.
Ushauri wenu tafadhali ili na yeye awe na ngozi soft. Atumie vipodozi vya aina gani
Tutaalibu=TutaaribuNgozi ni muimu sana kwa kila mmoja hasa ukiijali
Pia wadau tusipende kununua vitu vilali au kuchukua kitu bila kupima ngozi coz tutaalibu ngozi zetu.
Tunapima ngozi kwa 2000/- na kukupatia bizaa yako ya asili siyo ya kemikali
Virgin coconut oil ndio habari ya mujiniWife ngozi yake ni delicate sana. Vitu vya jamii ya chuma vinamdhuru kwa kuwashwa na kuota vipele. Poda yenyewe inamsababishia chunusi. Kwa sasa hatumii mafuta yoyote hasa usoni kwani ngozi yake ni ya mafuta pia. Napenda kumwona akiwa na uso mwororo usio na chunusi ila ana hiyo changamoto ya kuharibika ngozi akitumia baadhi ya vipodozi.
Ushauri wenu tafadhali ili na yeye awe na ngozi soft. Atumie vipodozi vya aina gani
Mkuu picha haionekani......the best!
PichaWife ngozi yake ni delicate sana. Vitu vya jamii ya chuma vinamdhuru kwa kuwashwa na kuota vipele. Poda yenyewe inamsababishia chunusi. Kwa sasa hatumii mafuta yoyote hasa usoni kwani ngozi yake ni ya mafuta pia. Napenda kumwona akiwa na uso mwororo usio na chunusi ila ana hiyo changamoto ya kuharibika ngozi akitumia baadhi ya vipodozi.
Ushauri wenu tafadhali ili na yeye awe na ngozi soft. Atumie vipodozi vya aina gani
Wife ngozi yake ni delicate sana. Vitu vya jamii ya chuma vinamdhuru kwa kuwashwa na kuota vipele. Poda yenyewe inamsababishia chunusi. Kwa sasa hatumii mafuta yoyote hasa usoni kwani ngozi yake ni ya mafuta pia. Napenda kumwona akiwa na uso mwororo usio na chunusi ila ana hiyo changamoto ya kuharibika ngozi akitumia baadhi ya vipodozi.