Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,780
- 10,710
Wakuu, kwa mara ya kwanza toka nijue kulala na wanawake,leo nimepatikana, kuna manzi kanifanyia suprise hapa kwangu leo, na obvious atalala hapa kwangu na tutalala naye kitanda kimoja.
Tatizo langu ni kwamba, kiukweli leo siko fresh kiafya, naumwa tumbo wakuu na ninaharisha hatari.
Huyu manzi sijamwambia majanga niliyonayo bado, nimejidunga mafrajili hapa lakini naona ngoma bado imekaza, sasa hofu yangu ni usiku tukiwa tumelala tumbo likinishika nikitaka kuingia toilet nitafanyaje, ikumbukwe toilet ni hizi za ndani kwa ndani.
Nitumie ujanja gani huyu manzi asijue kuwa naharisha wakuu?
Mithali 6:
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo
litakalomwangamiza nafsi yake.