Acha ujinga wewe wazungu kila siku wanabadili jinsia.......kuna dada mmoja wa kizungu ambaye tumejuana na tunawasiliana kupitia mitandao ya kijamii,urafiki wetu una miaka zaidi ya mitatu lakini simfahamu zaidi ya kutumiana mapicha,katika maongezi yetu nilimwambia kuwa sijaoa,lakini ukweli ni kwamba nimeoa na nina watoto kadhaa,sasa yule dada wa kizungu anataka kuja kunitembelea hivi karibuni nikiwa kama mpenzi wake,hapa akili inanichanganya kwani anasema kama patamfurahisha anaweza akahamia moja kwa moja na ikiwezekana tuoane,naomba ushauri nimweleze mke wangu au ningoje liwalo na liwe kwani ana pesa na anaweza kubadili maisha yangu
kuna dada mmoja wa kizungu ambaye tumejuana na tunawasiliana kupitia mitandao ya kijamii,urafiki wetu una miaka zaidi ya mitatu lakini simfahamu zaidi ya kutumiana mapicha,katika maongezi yetu nilimwambia kuwa sijaoa,lakini ukweli ni kwamba nimeoa na nina watoto kadhaa,sasa yule dada wa kizungu anataka kuja kunitembelea hivi karibuni nikiwa kama mpenzi wake,hapa akili inanichanganya kwani anasema kama patamfurahisha anaweza akahamia moja kwa moja na ikiwezekana tuoane,naomba ushauri nimweleze mke wangu au ningoje liwalo na liwe kwani ana pesa na anaweza kubadili maisha yangu
Hata yule chalii wa Arusha aliyeolewa ughaibuni alikuwa anawasiliana na mdada wa kizungu, akatumiwa pesa, ticket na visa kufika ughaibuni anakutana na jamaa linatangaza ndoa hakuwa namna zaidi yakukubali.Ndo hapo unapofanya wanaume waonekane wapumbavu, unaaminije ana hizo hela na kwamba ni mdada? Kwa hiyo ungetumiwa tiketi uende ungeacha familia yako uende?
Acha mawasiliano na huyo mwanamke kama unajipenda na unaipenda amani yako. Huwa wengine wana magonjwa ya ajabu yasiyo na tiba huku hata vipimo havipo. Unashindwa kufanya kazi baba wa familia wewe? Aaaah unawa aibisha wanaume watanzania
Baba anafikiria kulelewaHahahaa na wewe ni baba wa familia,teh kazi ipo
Hahahahahahaha. Tisha xanaUkitumiwa picha ya mwanamke we unaamini tu kuwa unayewasiliana naye ni mwanamke!
Zinduka unaweza kutana na njemba ukafumuliwa marinda