NISAIDIENI HILI

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
KUNA BWANA 1 MKAZI WA UNGUJA, ILA yupo London akawaagiza nduguze wamuolee MKE, wakamuolea.
Jamaa akaja Unguja Ili kukutana na MKEWE. Alipofika air port zanzbar kabla hajafika nyumbani akakutana na msichana mzuri akashawishika akamtongoza wakaenda guest na wakafanya MAPENZI Alipoenda nyumbani,ili akutane na MKEWE, akaambiwa yupo sokoni, aliporudi yule msichana kumbe ndio MKE mwenyewe! waliyekuwa nae gest.
Je huyo Jamaa alizini au alilala na MKEWE? Na mme atamchukuliaje mke wake? mke atamwonaje mme? nani malaya? kama una maoni tiririka kwa sms au muulize mdau mwingine. UNIPE JIBU!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…