Good Father JF-Expert Member Feb 28, 2014 10,323 18,534 Jan 19, 2017 #2 Unaogopa nini kutaja bei hapa hapa?
Jephta2003 JF-Expert Member Feb 27, 2008 6,575 6,328 Jan 19, 2017 #3 Kanitumia PM anauza sh 12,000 tu
feysher JF-Expert Member Sep 6, 2016 2,656 2,770 Jan 20, 2017 Thread starter #4 Jephta2003 said: Kanitumia PM anauza sh 12,000 tu Click to expand... Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo
Jephta2003 said: Kanitumia PM anauza sh 12,000 tu Click to expand... Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo
Mr.Wenger JF-Expert Member Nov 20, 2014 2,558 6,091 Jan 20, 2017 #5 feysher said: Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo Click to expand... Acha maneno weka bei
feysher said: Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo Click to expand... Acha maneno weka bei
Mamaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 5,020 4,250 Jan 20, 2017 #6 Pumbafu, kajifunze biashara ya mtandao
Good Father JF-Expert Member Feb 28, 2014 10,323 18,534 Jan 21, 2017 #7 feysher said: Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo Click to expand... Weka bei acha utoto Unataka kila mtu akupigie kukuuliza bei ili iweje?
feysher said: Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo Click to expand... Weka bei acha utoto Unataka kila mtu akupigie kukuuliza bei ili iweje?
metatron JF-Expert Member Sep 26, 2016 552 274 Feb 21, 2017 #8 feysher said: Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo Click to expand... HAHAHAHHA!!!
feysher said: Acha kudanganya watu sijakutumia PM anaeziitaji namba ipo hapo Click to expand... HAHAHAHHA!!!
anthonysamanii Member Feb 23, 2014 85 49 Feb 21, 2017 #9 Una bidhaa nzuri ila ww ndo hauko serious.. Maliza tangazo lako la kibiashara kabisa "bei"