Nini kitatokea endapo itabainika Manji ni mtumia Dawa za Kulevya?

Ikibainika ameathirika na mihadarati atapelekwa tu Mwananyamala kuanza dozi ya Methadone.Hamna kesi.
Methadone yenyewe ni muhadarati,kama anauwezo wake unamruhusu awe anaenda baharini yaani international waters ambako sheria za nchi hazihusiki anavuta kwa muda wa tuseme wiki halafu anarudi
 
Kipimo gani watatumia na kwa nia ipi?
Madawa yakitumiwa kihalali (tiba) siyo kosa kisheria.
Kupima damu haithibitishi kosa la jinai katika tuhuma na mazingira hayo. Labda aonywe kwa kukosa uadilifu baada ya uthibitisho kuwa ni matokeo ya drug abuse.
 
Mwaka juzi meya wa mji mmoja kule Canada alinaswa na video kichukua Cocaine(dawa ya kulevya),jamaa aliendela kwa muda na umeya wake ahalafu akatangaza kujiuzulu,baada ya kujiuzulu akaamua kwenda kutibiwa.

Halafu watanzania lazima tukubali kuwa nusu ya polisi wa Tanzania wanatumia bangi,kama hawa FFU wao wanapewa bangi kambini kama sigara,je na wao wapimwe damau na mkojo.....
 
Habari,

Kwa maelezo aliyotoa mchungaji gwajimaa alisema alichukuliwa sampuli ya mkojo na damu vikapimwa majibu yakatoka mazuri na akaachiwa ingawa kuna mambo mengine yanaendelea ya kiupelelezi.

Sasa ikiwa vipimo vya mkojo na damu vikionyesha manji anatumia hayo madawa ya kulevya nini kitafuatia?

Kwa watu wa sheria watusaidie hapa!
Sasa hili swali lako linataka watalam kutoka ulaya au? JIBU NI KUWA ATASHITAKIWA
 
Mwaka juzi meya wa mji mmoja kule Canada alinaswa na video kichukua Cocaine(dawa ya kulevya),jamaa aliendela kwa muda na umeya wake ahalafu akatangaza kujiuzulu,baada ya kujiuzulu akaamua kwenda kutibiwa.

Halafu watanzania lazima tukubali kuwa nusu ya polisi wa Tanzania wanatumia bangi,kama hawa FFU wao wanapewa bangi kambini kama sigara,je na wao wapimwe damau na mkojo.....
Acha kupotosha uma,wapi walikwambia polisi wanapewa bangi kambini?haya ndiyo maneno ya uchochezi kijana,maana unataka wananchi wakose imani na jeshi lao la polisi.
 
Akikutwa majibu yake kwamba anatumia ngada.
Ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wake
 
Sheria irekebishwe na kuwekwe kipengele cha kutiwa hatiani kwa kosa la kujisambazia mihadarati. Ukipimwa na vipimo vikaonesha uko jumlisha basi unakuwa na kosa la usambazaji wa madawa ya kulevya. Yaani umeusambazia mwili wako.

Na washawasha!
 
Atachukuliwa hatua stahiki kama walivyo wengine wanaojiuhusisha na madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom