Una uhakika kua mtu anaweza kuishia kutumia tu hizo apk kama unavyosema?Mbona smartphone ni zaidi ya simu ndugu mambo mengi hufanywa kupitia simu hizi .Wakuu ninapenda kuuliza nini unaweza ukafanya kwa simu zinazotumia android mbali na huduma za mitandao ya kijamii? nauliza hivi kwa sababu unaweza ukakuta mtu ananunua simu kwa gharama kubwa then anaishia kwenye wasp, facebook na instagram. Hivyo nahitaji kufahamu kazi zaidi za android au zinaweza zikatusaidia nini zaidi?
ok poa japo anyway nimesahau kusema si wote wanaotumia kwa ajili ya mitandao ya kijamii tuUna uhakika kua mtu anaweza kuishia kutumia tu hizo apk kama unavyosema?Mbona smartphone ni zaidi ya simu ndugu mambo mengi hufanywa kupitia simu hizi .
Ngoja wajuzi wa mambo waje watakupasha habari kitaalamu zaidi
ok poa japo anyway nimesahau kusema si wote Yap mkuu
Mbona smartphone ni zaidi ya simu ndugu mambo mengi hufanywa kupitia simu hizi .
Yapo mengi nitakutajia machache...Wakuu ninapenda kuuliza nini unaweza ukafanya kwa simu zinazotumia android mbali na huduma za mitandao ya kijamii? nauliza hivi kwa sababu unaweza ukakuta mtu ananunua simu kwa gharama kubwa then anaishia kwenye wasp, facebook na instagram. Hivyo nahitaji kufahamu kazi zaidi za android au zinaweza zikatusaidia nini zaidi?
Yapo mengi nitakutajia machache...
Unaweza kutumia kama
1. Wireless mouse
2.Control Music softwares kama Virtual dj
3.Baby watcher
4.Spy camera
5.calculator
6.Bible
7.Camera
8.Notebook
9.Kusomea dna ku edit ocuments
10.Scanner
11.Heart rate
12.Tochi
.
.
.
.
.
.
.
.
Na mengine kibao
Kuna software inaitwa Wireless mouse unainstall kwenye pic kisha app yake unainstall from playstore ukiwa under the same wireless unafanya kazi kama kawaidaWireless mouse unatumiaje mkuu nielekeze kidogo.
Thanks.
Kuna software inaitwa Wireless mouse unainstall kwenye pic kisha app yake unainstall from playstore ukiwa under the same wireless unafanya kazi kama kawaida