pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,081
kwisha habari yake bora ni msikilize baraka da prince au harmonize sio huyu kapotea vibayaa video yake ya vichupi angalie mwenyewe mkono wa BASATA lazima umfikie kachemka sana huyu dogo
Management yake ina watu wawili ninao wafahamu mubenga na Ay sijui ni panic au vipi maana wanampoteza yule dogo kipaji anacho sound on point but management ni tatizo kwa wasanii wengi sana TanzaniaUpo sahihi mkuu sijui tatizo ni utunzi au meneja nae hajui muziki hivi kweli cabinet inakaa na kupitisha nyimbo kama hii achia body? hii nyimbo itasahulika mapema sana
Mwanamke unazura kama unauza mbogaNa ana kazi si ya kitoto, kumtunza mke mchezo?!!!
Mwanamke unazura kama unauza mboga
Sasa unaacha kukaa na Diamond ujifunze unaenda kukaa na Idris Sultan na Wema Sepetu unategemea nini?? Mambo mengine huwa ni ya kujitakia tu
si wanasemaga wema ananyota kali labda ndio amefuata hiyo nyota.
Omy dimpoz is better artist in Tanzania is among of the best and proudly to have him in our country stop your comparison between diamond and other artists coz everyone got his fans base and style u silly and dumb fanHuyu alikua bado sana..akaanza kupata dira kwa superstar chibu dangote na kuanza kupendwa na wampendao chibu yeye akaleta jeuri..without knowing he still got a long way to go. Basi na sisi tukamtema. Maaana kwanza hanaga nyimbo nzuri, kisauti kama cha mbuzi, nyota ndo kabisaaaa hana, wanampenda wa kinondoni wenzie tu na zile dimpoz zake kama tundu za maskio. Excuse my french:crazy:
That was not a comparison. That was simply a FACT. We all know artists have mentors..old or young but they have people they learn from. He was starting up well no lie..trying to learn from the best and experienced but after being able to create his own fan base he thought that was ALL and started acting all Macho Man. If you are a Big fan as you sound you know this is all true. Take Me and You or Baadae and compare it with Wanjera or Achia Body cjuy..You'll know what im talking about. Otherwise wahenga hawakukosea "ukikaa karibu na mawaridi utanukia uwarid" Omy dimpoz knows better LOLOmy dimpoz is better artist in Tanzania is among of the best and proudly to have him in our country stop your comparison between diamond and other artists coz everyone got his fans base and style u silly and dumb fan
bora na wewe umeliona. maana huu wimbo hapana. najiuliza hizo nyimbo za kujaza album 4 ziko vipi?
ni kweli aisee. huyu jamaa anaharibu huu wimbo hovyo kabisaHata kama zipo,zitakuwa za kijinga..another overrated..inawagarimu saana
Hapana mr pkp hatumii ndumba aseeNdumba znaishaga nguvu jaman
Duuu hizi mambo hizi za kila msanii kumfananisha na diamond sio sahihi kabisa huu ni ujinga sio ushabiki na ommy hajawahi kugombana na diamond ila jamaa ana mambo ya kike yule domo kisa wanjera na kuwa karibu sana na wema alitaka na yy asipatane na wemaUyu jamaa mimi binafsi simpendi kabisa kuanzia muonekano wako hadi muzik wake....ana umbo baya sana....am sorry kwa hili...anajifanya ana jeuri ya kushindana na Chibu while hamna kitu...ule wimbo nilivyosikia tu teaser yake insta nikajua hamna kitu...hit inajulikana bhana!! hata ivyo nadhani jamaa aache ugey unamfanya akili inalemaa
Most of Tanzanian are stupid that's y kanumba was only best actor in Tanzania after his death everything went wrong in bongo movies due to unfair and stupid competition because they can't help each other due to battle contributed by fans like u stop comparing our own artistsThat was not a comparison. That was simply a FACT. We all know artists have mentors..old or young but they have people they learn from. He was starting up well no lie..trying to learn from the best and experienced but after being able to create his own fan base he thought that was ALL and started acting all Macho Man. If you are a Big fan as you sound you know this is all true. Take Me and You or Baadae and compare it with Wanjera or Achia Body cjuy..You'll know what im talking about. Otherwise wahenga hawakukosea "ukikaa karibu na mawaridi utanukia uwarid" Omy dimpoz knows better LOL
Most of Tanzanian are stupid that's y kanumba was only best actor in Tanzania after his death everything went wrong in bongo movies due to unfair and stupid competition because they can't help each other due to battle contributed by fans like u stop comparing our own artists