Prince Mellance
Member
- Aug 30, 2022
- 28
- 24
Vyuo vikuu wanafundishwa na wakufunzi ambao awana uzoefu wa kazi yani mtu anakufundisha ukafanye kazi ikiwa yeye mwenyewe ajawahi fanya kazi.
Hii imetengeneza elimu kutokuwa na uhalisia maana wengi wanaomaliza awaminiki kufanya kazi moja kwa moja kwa sababu wanakuwa wageni hata yote wanosomea wanapata wakati mgumu kwa sababu ayaendani na ubalisia wa kazi.
Tunajua elimu ni pyramid yani inavyozidi kwenda juu watu wanazidi kupungua watu wengi awafiki vyuo vikuu hivyo elimu inakuwa aina msaada wowote kwao kwani kama ujafika chuo na kusomea somo husika autakuwa na matumizi nayo kwa sababu atujifunzi matumizi ya masomo “application” tu akazana na masomo husika.
Pia mfumo wa elimu umekuwa wa kuuwa vipaji sio kuviendeleza kwani wanafunzi wote wanafanya mitihani ya masomo sawa aijalishi unakipaji gani mtihani ni ule mmoja kwa wote kama ni historia, fizikia au hesabu wote waliko sehemu “level” moja ni mtihani mmoja ambao uko sawa.
Kwa majina naitwa Prince Ndeserua ni mhitumi kwa ngazi ya stashahda ya ukadiriaji majenzi katika chuo cha ardhi mwaka 2020.
Naishi nikijijenga katika misingi ya falsafa namamini kupitia falsafa na sayansi tunaweza kubadili ulimwengu.
YAFUATAYO NI MABADIRIKO YA ELIMU YA AYOTAKIWA KWENYE KILA NGAZI YA ELIMU.
》VYUO NA VYUO VIKUU.
Wengi tunasahau tukifikira kuboresha elimu michango mingi inakuwa ni huku chini.
Nakumbuka wakati nasoma chuo kikuu nilipata shida sana maana takribani ya kozi zote tulizosome nusu yake azina uhusiano na kazi tu ayoisomea “proffesional” .
Hata hayo yenye uhusiano tunakuwa tunazunguka mfano Somo au course ya Ujasikiamali yani “enterprenerurship” ambalo liko kila mahali ukiangalia maada “topic” zake ni zile zile karibu vyuo ambazo azimsaidii mtu kujifunza ujasiriamari kama vile maana na historia ujasiriamali, biashara ndogo na biashara kubwa zote hizo unajifunza kwa nje maana na sifa zake na umuhimu.
Yani kifupi wanafunzi wanajua ujasiriamali kwa nje yani maana yake tu sio kwa undani vitu vya maana kama vile kusimamia biashara, kujua wateja, mikopo na rehani, kuuza, kukuza mtaji na n.k.
Ndio maana utaona mhitimu akipost bidhaa zake kama stastus inakuwa kero wengi wetu tumehitimu ila ujasiriamli atufahamu chochote.
NINI KIFANYIKE;
》ELIMU YA MSINGI MPKA A LEVEL.
Inasikitosha sana kuona wanafunzi wote wanafanya mtihani mmmoja na masomo yote sawa licha ya kuwa na vipaji tofauti au uwezo tofauti.
Mfuno wetu wa elimu umekuwa sehemu ya kuuwa vipaji na ndoto za wanafunzi mpka wafike vyuo vikuu inabidi wasome na wafanye mitihani ya vitu ambavyo awavihataji au awana uwezo navyo na wakifeli awawezi kifika vyuo vikuu.
Elimu ya shule ya msingi mpaka sekondari imekuwa aina msaada wowote katika jamii inasikitisha kuona wazazi wanapambana watoto wao wasome ila wanavyosoma aviwasaidi kama wasipofika vyuo vikuu. Kwani elimu inazingatia tu masomo wala sio matumizi yake “application” .
NINI KIFANYIKE;
》Mwanafunzi akishajua kusoma na kuandika asomee kitu anachokiweza na kukupenda.
Mfano kama anaweza ufundi asomee ufundi tu masomo yote yawe yanahusu kitu kunjenga katika ufundi husika.
Kama ikiwa ni somo moja manake atalisoma hilo tu kwa upana zaidi na tofauti na wengine kama ni hesabu au fizikia au historia alisomee hilo mpka afike chuo kikuu asome kozi inaendana na somo lake tu.
》Elimu iwe na utofauti wanafunzi wote wasifanye mtihani mmoja kuwe kuna utofauti.
Kama mwanafunzi anasome ujenzi afanye mitihani ya ujenzi tu kwa level yake, au kama anasomea somo moja mitihani yake yote iwe husika na hilo somo walivyoligawa kwa upana wake. Isiwe wanafunzi wote wanasoma wanafanya mtihani kitu kimoja.
》Elimu izingatie sana kazi zake mfano kama somo la biolonia izingatie kama vile utabibu au kilimo au fizikia kuzingatie sana matumizi yake kama vile ufundi wa umeme au mashine n.k
Elimu ni pyramid wengi awana bahati kifika juu yani vyuo vikuu au vyuo hivyo elimu atakayoipata imsaidie.
HITIMISHO;
Kwa miaka mingi sana tunatamani kuona mabadiliko kafika elimu inaumiza sana kuona watoto wetu au wadogo zetu au wanafunzi wanasoma mambo mengi ambayo ayawasaidii chochote kwa maisha ya baadae.
Tunaona tuko nyuma kutokana na mfuno wetu wa elimu ulivyo mbovu umekuwa mfumo wa kuuwa vipajai na ndoto za watu wengi.
Naamini inawezekana kwanza kabisa tujue tunataka nini na tuko wapi.
Sote kwa pamoja tukielewa tunaweza kuleta mabadiliko.
Naomba pia saidie kushare huu ujumbe.
Mawasiliano zaidi.
Ni mimi Prince Ndeserua.
Email: prince.mellance@gnail.com
Whatsapp; 0759 907 958
Au social media Instagram prince ndeserua.

Wakufunzi wa vyuo wawe na uzoefu isiwe mtu aliehitimu “fresher” ajawahi kifanya kazi popote ya hiyo kazi husika “proffesional” amfundishe mtu akafanye kazi huo tunazidi kutengeneza nafasi baina ya elimu na uhalisia na pia lifanya wanfunzi wa vyo kusoma mambo mengi yasio na msaada wala maana.
Kubadilisha mitaala ya vyuo iendane na uhalisia hii inawezekana endapo watu wenye uzoefu wa kazi au proffesional usika wakiwa wakufunzi ndio wanajua kipi kinatumika au akitumuki au kioi cha khingozea au kuoungiza kufanya elimu iwe na usiahani na uhalisia.