mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Mambo ya kanisa yanapaswa yaishie kanisani.
Sherehe yoyote nje ya kinachofanyika kanisani ni urimbo wa dhambi na maovu.
Dunia nzima leo kutakuwa na kiwango kikubwa cha ufanyaji ngono ...
Walevi wengi kila kona
Watu kujeruhiwa
Ajali maana Wengi huendesha magari wakiwa wamelewa
Ni aibu sherehe za kidini polisi ndio wanatumia resources nyingi kuliko siku Za kawaida wakati sikukuu za dini polisi ndio walipaswa kuwa off.
Pasaka ilipaswa kuishia kanisani...
Tumekuelewa...Mambo ya kanisa yanapaswa yaishie kanisani.