Black poison The Factor
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,295
- 1,866
Hope mko poa wakuu.
Nimekua nikijiuliza sana maswali haya na sijapaga majibu sahihi naombeni msaada wenu.
1 je kirusi cha HIV huishi muda gani bila kufa kikiwa nje ya binadam, mfano mtu mwenye HIV akimwaga damu yake chini vitakufa kwa muda gani.
2 kuambukizwa kupitia salon,
3 kuambukizwa kupitia vikombe vya chai maji, vijiko na kadhalika. Mfano migahawani mara nyingine hawaoshi vizuri
vyombo hivyo baada ya mteja kuvitumia
4 kwa kulala kitanda kimoja na mwenye HIV,, sio sex maybe tu ni mdau wako kaja kukusalimia then akae hata wiki hivi.
5 hili ni nyongeza doz za pep zinatolewa bure au,, na ni hospital zenye hadhi gani zinazotoa dawa hizo.
Ahsante.