Ninaporudi kazini hupenda kuweka wimbo huu..mke wangu analia sana kila nikiweka

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Mimi mwenzenu maombolezo bado yananisumbua hupenda sana kuweka wimbo huu wa diamond

LAKINI KILA NIKIWEKA WIFE hanambii niondoe ila husikiliza na kulia sana...nilikuw nimekaa na mwenzangu, nashangaa machozi yamejaa...
 
Solution ni kwamba usiweke huo wimbo mkeo akiwepo au usikilize Personal ukiwa na Earphones

[HASHTAG]#WapumzikeMahalaPema[/HASHTAG]
 
Jitahidi kusikiliza katika mazingira ambayo hutawakumbusha wengine machungu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…