Ninapo ingia whatsapp ni majanga tu.Msaada!!!

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Habari!!
Hapo mwanzo nilikua na app ya WhatsApp nika-unstall and then nika-dowload.
Sasa niki-log in inaniambia hivi nifanyeje?
 
Unistall hiyo iliyopo alafu download upya, baada ya ku-download ikikuuliza kama unahitaji ku-restore backup ya chats za zamani chagua 'SKIP' i..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…