Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Habar yako usomaye Uzi huu matumaini uko sawa.
Nirejee kwenye Uzi
Niko na mdogo wangu wa kike Yuko good mno kiakili binafsi namkubali
Sasa alifaulu form 6 pcb 2021 kwa 2.10 Sasa lengo lake lilikuwa MD Ila ikigoma sababu ya cutpoints kusababishwa hata kozi baadhi za afya alizoomba kutokuchaguliwa na kumfanya kukaa nyumbani kwa mwaka mzima.
Sasa kama Wanajukwaa wenye uelewa Mpana kwenye masuala ya kielimu. Naomba kujua kwa sasa ni kozi gani zenye uhitaji kakika kujiajiri au kuajiriwa hasa hasa za science ili ije kuwa msaada kwake siku zijazo maana ata familia yetu bado tuna imani elimu Ni mwanga.
Mwenyezi Mungu akubariki kwa mchango wako wa dhati.