Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,187
Asante sana mkuu ni kweli hilo ni zuri ila nikijiuliza mimi kikazi ni dar je kule kijijini nitaipeleka wapi? maana kwa wazazi sidhani kama nitapata return nitakayo maana hapo undugurazation utakuwepo katikatiMkuu nunua carry ipeleke mkoa. Ikapige kazi vijijini. Carry mjini nyingi. Bajaj sikushauri... ila carry ongeza bajeti. Walau 7m
lakini bajaji as ofisini kutoka saa 11 jion nitaweza kumfuatilia nitakaempa aendeshe lakini bado ugumu unakuja kwenye kumpata mwaminifu na ipi ninunue mpya au used? na wengi ninaowauliza waliopo hizi carrier wanadai ili uione pesa yako lazima uendeshe mwenyewe sasa hii duuh ni chagua moja kazi au uendeshe mwenyewe
na kwanini hunishauri bajaji mkuu natumai kuna kitu mkuu