Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 951
- 843
nakiri kuwa ananipenda na kweli mm ndie mpenzi wake wa kwanza....lakini pia nampenda sana natamani awe mke wangu.
tatizo liko kwa mama yake ambae kiukweli hataki kabisa kusikia jina langu na mra kwa mara binti huniambia mama yake anasema ndugu yake alitaka kuoa kwetu kipindi cha nyuma babu akakataa kumpa binti yake sasa kwa nn yeye (mchumba wangu)aje kwetu kututengenezea familia
maneno haya yananiogopesha sana lakini nashindwa niganyeje niachane na huyu binti..mwanzoni alikuwa ameamua kumsikiliza mama yake na akaonyesha kuniacha coz kuna nguo za marehemu mama yangu nilikuwa nimempatia alinirudishia lakini naona amerudi upya na mapenzi ndo yamekolea.
sasa najiuliza nitafanyeje nimuache bila kumuumiza na badae akayachukia mapenzi.ukweli ni kwamba kumuoa naogopa ila nakili kuwa tunapendana
au je niamue kumuoa hivyo hivyo liwalo na liwe.. ukizingatia umri wangu nao umeenda sina mda wa kusubir nahitaji mwaka huu kuwa na mke..jamani kuweni serious kunishauri plz.
Sijui hujaelewa nnWakati unaandika ulikuwa kwenye mbio za mita 100? Binafsi sijakuelewa umechanganya vitu vingi kwenye hii stori yako.
Nguo za marehemu, binti kumsikiliza mama, anakupenda na wewe unampenda, woga wako, amerudisha mapenzi, hebu weka mambo sawa tujipinde kutoa ushauri nasaha.
da mm mwenyewe nimeshangaa...ila ndio hivyo watu tumetofautina uelewa ...tuvumiliane ...mwenzetu uelewa wake ni mdogo sanaSijui hujaelewa nn
of course am real...but her mother is an obstacle...sasa je nimuoe mtu ambae kwao sipendeke?Be yourself, mapenzi hayataki papara wala kulazimisha. Kama huyo ndiye ulieandikiwa atakuwa wako tu hata mpotezane mtaonana tu.
umeelewa kweli nilichomaanisha?Tafta pesa, mpe pesa
da huu ushauri umeenda shule ...ngoja niendelee kukusanya maoniView attachment 351794
Kifupi.. Endelea na mpango wa kumuoa, katika harakati hizo Liwezekano litaonekana Lisilowezekana litaonekana. Hii itakusaidia kutojilaumu au kulaumiwa na nafsi iliyokupenda.
Mwenyewe nimeshangaa sanaWewe ni pimbi sana, mwanamke hujamuona unampa nguo za mamako!!!
du haya bana...ila nilimpa coz mama alipofariki hakukua na mtoto wa kike so nikaona zinamtosha ikanibidi nimpe....lWewe ni pimbi sana, mwanamke hujamuona unampa nguo za mamako!!!