Unatumia benki gani mkuu naona benki nyinyi wameshaingizaMishahara bado haijatoka, acha kupotosha!
Hilo ni tatizo lako binafsi na muajiri wako kama unataka ushauriwe jf bainisha jina la taasisi yako na cheo chakoHabari wakuu
Jana nilipata taarifa kuwa mishahara tayari lakini niliangalia kwenye akaunti nikajibiwa salio halitoshelezi,kwenye akaunti ya mshahara mara nyingi natoa pesa zote
Leo nimeamua kwenda kwa Afisa utumishi amenijibu kuwa mimi ni mtumishi hewa,tumejadili pale ili kuweka mambo sawa,cha ajabu ameniambia niondoke mshahara unaingia ndani ya muda mfupi muda huu naangalia jibu ni salio halitoshelezi
Nataka kujua haki zangu kuhusu tatizo hili
Je ni haki kuzuia mshahara bila kujiridhisha kama mimi ni mtumishi halali au hewa
Ushauri tafadhali
Kuweka mambo sawa ni kufuatilia chanzo cha tatizo na kulitatuahapa kuna tatizo, namna ulivyoandika kwa Mainteligensia Tayari wewe ni suspected, uchunguzi unakuhusu kabisa yani.
Mshahara wangu hujaingia, na mimi ni mtumishi halali jina langu lipo ktk payroll, tarehe ya kupata mshahara imefika, mshahara hujaingia, wengine wamewekewa, mimi nakwenda kuongea na afisa utumishi kuweka sawa mambo, mambo gani hayo???? Mshahara Sijapata????????...............Kuna tatizo hapa.
Lakini usijali kama ni haki yako ipo. But haiwezekani wengine wapate wewe usipate...
Pole sana mkuu yawezekana Jina lako lilikuwa linalipwa Mara mbili moja mshahara hewa na lingine ndo halali ambalo ni Jina lako . Chakufanya we ongea na mwajiri wako ili wakuingizie huo mshahara.Habari wakuu
Jana nilipata taarifa kuwa mishahara tayari lakini niliangalia kwenye akaunti nikajibiwa salio halitoshelezi,kwenye akaunti ya mshahara mara nyingi natoa pesa zote
Leo nimeamua kwenda kwa Afisa utumishi amenijibu kuwa mimi ni mtumishi hewa,tumejadili pale ili kuweka mambo sawa,cha ajabu ameniambia niondoke mshahara unaingia ndani ya muda mfupi muda huu naangalia jibu ni salio halitoshelezi
Nataka kujua haki zangu kuhusu tatizo hili
Je ni haki kuzuia mshahara bila kujiridhisha kama mimi ni mtumishi halali au hewa
Ushauri tafadhali
Kama aliwekwa wekwa aisee itaweza kula kwakeMfanyakazi hewa kivipi wakati upo kazini au ulipata kazi kimagumashi?
Shida ilikuwa nini, haya mkafanye kazi sasa. Hakuna mshahara wa bureTayari pesa imejaa kwenye Akaunti
Benki yangu ya posta bado hawajaweka mpunga yani shida kweliTayari pesa imejaa kwenye Akaunti