Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,815
Wakuu za masiku, mimi ni mwenyeji hapa JF kwa masaa 2.
Kisa 1) Nipo chuo mwaka wa 1 sasa, ila kuna kasichana kamenizimikia sana, nikiwa kwenye discussion kananiangalia sana mpaka napata aibu .
Kama jana baada ya kutangaziwa matokeo ya UE alifurahi kuona nimefaulu. Kila muda hata akiwa na wenzake lazima anijadili, aseme eti mtumbad64 hajui matusi, ni mstaarabu, sijui nini, daah!
2. huyu anapenda kunikonyeza nikiwa library kila muda japo namlia ban, nampotezea, nilipewa umbea jana kwamba eti ananikubali sana, khaah, ila nimevunga.
Wa 3,4,5;
Huyu wa 3 ni mke wa mtu anamakalio makubwa kama behewa, anakubali eti nilivyo. Hana sura nzuri huyu.
Wa 4 huyu ni mke wa mtu pia, ana makalio ila shida hana sura nzuri, not my type kabisa.
Wa 5 ni sista wa kikatoliki from Kenya, alikuwa anafanya kazi A level, nilipomaliza naye pia alinipa hadi namba. Nilienda ku-clear receipts, nilivyoenda kuchukua slip ya form 6 akanishangaaa balaa daah, ana makalio na yeye ila siwezi zini na mtu wa Mungu asee.
In short wanangu shida kubwa ipo kwa 1 na 2, nataka niwa potezeee kiaina. Nipeni ufundi maana nipo nao chuo for 3 years ila sijawakubali kabisa, nifanyeje na mi ni domo zege? Naogopa wenzangu wasije wakanicheka kwamba naogopa mademu.
Nawasilisha .