unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Habari wana Jf kwa mwenye kulifahamu hilo kampuni naomba msaada tafadhali kujua kama ni matapeli ama la kuna kazi walitangaza mwezi wa tisa Admin Officer Tanzania wamenitumia email kuwa nimekuwa shortlisted maajabu yanakuja natakiwa kulipia dollar 56 ili kupata certificate ya PSYCHOMETRIC ASSESSMENT TEST(PAR) ambayo nitaambatisha na new staff entry assessment form.
Nawatikia siku njema
Nawatikia siku njema