Habari wana jamvi???
Toka nianze likizo Nina takribani wiki nikaona si mbaya ni kienda kutembea mkoa wa Kigoma...Nipo kigoma kwa sasa hapa wilaya ya Kasulu...kiukweli kuna kitu kidogo kimenishangaza hapa kasulu,,Kila mtoto mzuri teyari ameshazalishwa duh...na Mimi kwa kweli huwa naamini kutembea na mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine ni mkosi mkubwa sana..Maana katika kabila langu lazima ukoo ukutenge.!!
Hivi nini tatizo jaman LA hawa wadada Wa huku aiseee .....kuzalia nyumbani ndo nini sasa....mademu kama kumi na tano wote wamezalishwa dah....Nimeshangaa sana..alafu umri wao hata sio mkubwa miaka 19,,20.....halafu ana umri huo mtoto wake ana miaka 5....kwa hiyo utagundua wengi wanakuwa na watoto wakiwa na chini ya miaka 15....Inasikitisha ninyi watu wa kigoma washaurini dada zenu waache kuzaa zaa ovyo angali bado wadogo..