Nimeporwa simu ya Tecno na kibaka Makumbusho

kuibiwa simu ni kukabwa tu sasa wewe unadrive then unachat ukaona bado ukafungua kioo yaan mwizi asingechukua bas trafic angekuja kukukamata tu uzembe mtupu huuuuuuuuge stupidity in triumps voice
Naamini umemaliza kutukana mkuu, jambo kama hili ni la kawaida katika jamii. 1/3 watakusaidia, 1/3 watakucheka, 1/3 watatukana kabisa. Usiogope nimekusikia ktk Sauti ya Donald Trump(American Presidential Candidates). But for sure the more u talk, the more you let me to know who are you. Kwa harakaharaka huna cha kusema, stop pooring scorns
 
Naona huu uzi umeanza kupoteza maudhui yake.
Now people are drawing attentions kwenye Gari/ Aina ya Gari. tehh..teehh.....:D
Nawaheshimu sana JF, Haimanishi kwamba sijui aina ya gari niliyo nayo...Lakini sijaona faida ya kutaja jina la gari ninaloendesha, kwa sababu lengo halikuwa hivyo, isipokuwa niliamua kutoa mazingira ya tukio ili wenye kuweza kunisidia wanisaidie. lakini Gari yangu ni nzuri na Siyo ya kuionea aibu kuitaja, lakini kwa nini nifanye hivyo? labda siyo tabia yangu.

labda niwakumbushe tu, me Man. Naona kuna baadhi ya komenti zinasema dada, anyway..najua jina ndiyo tatizo, but 100% i am a Man.
 
Hilo ni kosa kubwa umefanya, kutofunga vioo na ku sms. Hupashwi wala kurudishiwa hiyo simu ili uumie iwe fundisho. Hiyo ni simu tu ya laki 2, je ungegonga na kugharimu maisha ya wengine? Fikiria kwanza kabla ya kuweka uzi wako humu ww dada.
Amesema anajuta kwa kosa alilolifanya ndio maana kaomba msaada na kutoa tahadhari. Wengi watakuwa wamejifunza kosa alilolifanya.
 
kuibiwa simu ni kukabwa tu sasa wewe unadrive then unachat ukaona bado ukafungua kioo yaan mwizi asingechukua bas trafic angekuja kukukamata tu uzembe mtupu huuuuuuuuge stupidity in triumps voice

Mkuu...
Umemalizia bandiko lako kwa maneno magumu sana aiseee...
 
Mkuu Jikaze ndo Changamoto za kuwa Mkjini ila Kwa nnachojua simu ikishaibiwa, kila kitu hufutwa na kama ni laini hutupwa..sasa hvyo vitu vyako vya thamani kuizidi simu cjui kama utavikuta !!

Ila Mungu Akusaidie Upate Na Vitu Vyako Vya Thamani!

Jigo
 
Nawaheshimu sana JF, Haimanishi kwamba sijui aina ya gari niliyo nayo...Lakini sijaona faida ya kutaja jina la gari ninaloendesha, kwa sababu lengo halikuwa hivyo, isipokuwa niliamua kutoa mazingira ya tukio ili wenye kuweza kunisidia wanisaidie. lakini Gari yangu ni nzuri na Siyo ya kuionea aibu kuitaja, lakini kwa nini nifanye hivyo? labda siyo tabia yangu.

labda niwakumbushe tu, me Man. Naona kuna baadhi ya komenti zinasema dada, anyway..najua jina ndiyo tatizo, but 100% i am a Man.

Mkuu...:eek:
Kumbe una gari nzuri eehhh.....:D
Ahh.... hongera kwa kumiliki mkoko wa haja aiseeee..... wala usipate kigugumizi kujipaisha bhana... agghhhh.
Lakini pole kwa kuporwa simu mkuu.
Huku ushirombo hakuna vibaka hahaahaaaa.....;)
 
Tujifunze kusave info and docs on the cloud, siku hizo kuna cloud providers wengi tuu, google yao ni bure nk nk. So hata ukiibiwa simu inakuwa hujapoteza vitu muhimu.
ts true mkuu, nimeingia ktk email yangu ya gmail nimekuta Contact zote za watu. Thats nice, nimejifunza na naamini wengine watajifunza.
 
Nawaheshimu sana JF, Haimanishi kwamba sijui aina ya gari niliyo nayo...Lakini sijaona faida ya kutaja jina la gari ninaloendesha, kwa sababu lengo halikuwa hivyo, isipokuwa niliamua kutoa mazingira ya tukio ili wenye kuweza kunisidia wanisaidie. lakini Gari yangu ni nzuri na Siyo ya kuionea aibu kuitaja, lakini kwa nini nifanye hivyo? labda siyo tabia yangu.

labda niwakumbushe tu, me Man. Naona kuna baadhi ya komenti zinasema dada, anyway..najua jina ndiyo tatizo, but 100% i am a Man.
POLE MKUU
 
Naamini umemaliza kutukana mkuu, jambo kama hili ni la kawaida katika jamii. 1/3 watakusaidia, 1/3 watakucheka, 1/3 watatukana kabisa. Usiogope nimekusikia ktk Sauti ya Donald Trump(American Presidential Candidates). But for sure the more u talk, the more you let me to know who are you. Kwa harakaharaka huna cha kusema, stop pooring scorns
tusi lipo wap hapo
 
hahahahaahhaahahaha....
naomba Kifungu cha sheria za usalama barabarani kinachohukumu ukiwa ktk foleni usitumie simu mkuu.
Tujifunze wote.

Mazingira ya udokozi: Wakati nadrive nilikuwa
nimeshusha kioo cha gari, ghafla bin vuu! mkono
ukashika simu kwa nguvu tena naandika sms
chini ya usukani, nashukuru sikugonga gari
iliyokuwa mbele, but nimeumia sana. Kwasababu
simu hiyo ina mengi.
 
Mazingira ya udokozi: Wakati nadrive nilikuwa
nimeshusha kioo cha gari, ghafla bin vuu! mkono
ukashika simu kwa nguvu tena naandika sms
chini ya usukani, Nash I kiri sikugonga gari
iliyokuwa mbele, but nimeumia sana. Kwasababu
simu hiyo ina mengi.

mbona unajichanganya au lihabar la uongo mara ulikua kwenye folen mara unashukuru hujagonga
 
Kama ulifanyia backup vitu vyako usihofu kila kitu kitarudi ukipata simu nyingine BTW soko la simu za wizi liko mwenge, kinondoni mitaa ya wibu, mwananyamala jaribu kupitia huko
Mshana Jr
Hili nalo zuri,toa elimu kidogo ni kwa namna gani unaweza kuhifadhi vitu vyako kwenye simu ili hata ikipotea kumbukumbu zako zibaki salama wahanga tuko wengi.
 
Back
Top Bottom