Nimepima VVU nikakutwa positive ila nimekua wa kujiamini sana

Nakumbuka last year ilikua usiku nilikua nimekunywa dragon +konyagi ilifika usiku nilisikia mapigo ya moyo yapo kasi sana wife aliniwahisha dispenser presha ilikua 180/90 docta alinitisha sana, maana the way alivyokua akashituka aliniongezea stress sana kwa taarifa zake iliniafect sana maana nilijiona mtoto mdogo presha ni hatari nilivuta na hisia kwa mama alipata stroke kwa ajili ya high pressure miezi yote minne nikipata shida usiku silali kila siku nikipima ipo juu kumbe nilikua naipandisha mwenyewe kwa woga.

Siku niliamua kwenda Muhimbili kitengo cha JK cha moyo nilifika niliona watoto wadogo wana moyo mkubwa watu wanavyoumwa nilipata matumaini sana nilifanya vipimo vyote vya moyo nilipotoka hapo nikaanza kula woga ukaisha kabisa yani nikawa najiamini kuwa presha haiwezi niua mbona hadi watoto wanaumwa nilijingea kujiamini sana.

Sasa juzi juzI niliamua kupima VVU nikakuta positive yaani nilivyopokea yale majibu sikua na woga hadi yule docta alishangaa nilijifunza nisiingize woga au taarifa mbaya maana utanipa stress nilimweleza wife alinishangaa jinsi navyojiamini ila wife amekua mwoga kupima nilimplz sana kumwomba sorry kama nimempa mimi alikuwa mkali but anajiuliza kwanini najiamini? "wakati nipo? nilimjibu kupata UKIMWI siyo mwisho wa kutimiza malengo yako,
alinishangaa sana.

Nilifunza sana kipindi kile nilipitia mapito nilivyopata BP kwa sasa ninauwezo wa kushinda taarifa yoyote maana wengi wanaopima UKIMWI wakakutwa wanao hupanic na mwishowe huwaza kujiua na kupata stress.
Yeah at the end of the day kufa ni lazma
 
Pole sana mkuu.
Unajua ukiangalia kwa jicho la 3 starehe ambazo hazina kichwa wala mkia zinatugharimu sana hasa hii ya ngono.
Utakuta mtu kaoa au kuolewa lkn bado tu anakimbizana kutafuta papuch au dudu nje ya ndoa yake. Matokeo ndio km haya ya UKIMWI halaf wengine wanajiamin sana wanakata kbsa kutumia condom kisa eti zinaumiza. Hii ni sawa na kuuza raman ya vita kwa adui.
Ni vyema kula papuchi au dudu moja tu.
Unaota
 
Nakumbuka last year ilikua usiku nilikua nimekunywa dragon +konyagi ilifika usiku nilisikia mapigo ya moyo yapo kasi sana wife aliniwahisha dispenser presha ilikua 180/90 docta alinitisha sana, maana the way alivyokua akashituka aliniongezea stress sana kwa taarifa zake iliniafect sana maana nilijiona mtoto mdogo presha ni hatari nilivuta na hisia kwa mama alipata stroke kwa ajili ya high pressure miezi yote minne nikipata shida usiku silali kila siku nikipima ipo juu kumbe nilikua naipandisha mwenyewe kwa woga.

Siku niliamua kwenda Muhimbili kitengo cha JK cha moyo nilifika niliona watoto wadogo wana moyo mkubwa watu wanavyoumwa nilipata matumaini sana nilifanya vipimo vyote vya moyo nilipotoka hapo nikaanza kula woga ukaisha kabisa yani nikawa najiamini kuwa presha haiwezi niua mbona hadi watoto wanaumwa nilijingea kujiamini sana.

Sasa juzi juzI niliamua kupima VVU nikakuta positive yaani nilivyopokea yale majibu sikua na woga hadi yule docta alishangaa nilijifunza nisiingize woga au taarifa mbaya maana utanipa stress nilimweleza wife alinishangaa jinsi navyojiamini ila wife amekua mwoga kupima nilimplz sana kumwomba sorry kama nimempa mimi alikuwa mkali but anajiuliza kwanini najiamini? "wakati nipo? nilimjibu kupata UKIMWI siyo mwisho wa kutimiza malengo yako,
alinishangaa sana.

Nilifunza sana kipindi kile nilipitia mapito nilivyopata BP kwa sasa ninauwezo wa kushinda taarifa yoyote maana wengi wanaopima UKIMWI wakakutwa wanao hupanic na mwishowe huwaza kujiua na kupata stress.
pongezi kwa kutokata tamaa mkuu.
 
vip
ni ukweli usiopingika mkuu nipo positive na wala sioni sababu ya kuiga na wala siogopi na bdo sijaamua kutumia arvs
i mkeo halipokeaje majibu kuhusu kuwa umeadhirika?, wewe ndie uliepata ukimwi nje ya mkeo au unahisi mkeo kakuadhiri naomba kama hutajali tupe sababu ya wewe kuambukizwa ukimwi.
ntashukuru sana, ni vizuri kujifunza
 
mke ilikua ngum sana kuelewa ila yy kaeka ngum kupima maana yy kaokoka kwa iman yake anaamin mzima na yupo kwenye maombi yake kaweka mfungo wake sasa kwa kua ni mjamzito miez mitatu nimemwomba akapime ila kasema akimaliza mfungo wake atapima kwa kua Ana amin hana ila kanielewa na mm nimemwelewa na cha kushangaza mapenzi ndiyo yamezidi tunapendana balaa nimemweka karibu sana japo nipo mkoan kikazi
 
Back
Top Bottom