Waheshimiwa hamjambo
Mke wangu hivi karibuni amepata kazi baada ya kuwa mama wa nyumbani tangu tuoane, sasa kumekuwepo na changamoto ya usafiri asubuhi wakati wa kwenda kazini, tunafanya kazi uelekeo tofauti wa jiji hili la dar,
Sasa kuna huyu jirani yangu, anafanya kazi uelekeo wa kazini kwa wife, na ana gari, huwapa lift wapangaji wake wawili wa kike wanaoishi single na wife wangu anakua wa tatu
Nilimzuia mke wangu kuipanda lift hiyo kwa sababu mbali mbali ikiwemo sifa mbaya za jamaa huyo za uasherati, ameshashikwa uzinzi na mkewe mara kadhaa, lakini kubwa zaidi ni kuwa huyu jirani kuna wakati nakua sina gari either imeharibika au haipo home kwa sababu flani flani, huyu jirani hunipita kituoni kama hanioni vile, ila akiwakuta kituoni wanawake wa mtaani atasimamisha gari na kuwaita kuingia hata bila wao kuomba
Sasa mm huwa namuacha mke wangu nyuma asubuhi naondoka asubuhi sana, kumbe huku nyuma huwa anapanda lift ya lile liasherati kinyume na amri yangu, jirani yangu mwingine ndie amenishtua kwa kuniuliza ""yaani unamruhusu shemeji apande lift ya lile jitu? Ndipo nikashtuka nilikua sina habari, jioni yake nilipomuuliza wife kulikoni, akadai huwa anapanda kwa kuwa kunakua na wanaweke wengine pia, nikamuuliza huwa mnashuka wote kituo kimoja? Akajibu vituo tofauti, nikamkata makofi mengi sana wife, nikamwambia ni marufuku kupanda lift ya binadaam yeyote yule wa jinsia ya kiume, hata ikibidi kutembea kwa miguu atembee kama hakuna public means au lift za wanawake
Cha kushangaza lift za wanawake wenzao zimejaa tele mtaani, ukiuliza kwa nn usipande lift ya flani ambae ni mwanamke mwenzio utasikia ooh yule anaringa na kigari chake,
Yaani upo radhi kujipeleka mdomoni mwa li mamba kisa flani anaringa na kigari chake
Sasa ngoja nije nisikie tena amepanda lift ya hilo jitu,
Nonsense
Kwani tukitongozwa lazima tukubali! Sisi hatuna maamuzi?yap kwa mwanaume ni ruksa ila kwa KE "is strictily prohibited" . sisi tunaamuzi ya kutongoza au tusitongoze ila nyie lazima mtatongozwa tu
OOh.. au anaweza share kwa kulipia mafuta kila weeki kwa wenzie wanawake majirani...Solution ni kumnunulia mkeo gari lake...baaas
Hapo kwenye red du! Muwindaji huyo.Waheshimiwa hamjambo
..., lakini kubwa zaidi ni kuwa huyu jirani kuna wakati nakua sina gari either imeharibika au haipo home kwa sababu flani flani, huyu jirani hunipita kituoni kama hanioni vile, ila akiwakuta kituoni wanawake wa mtaani atasimamisha gari na kuwaita kuingia hata bila wao kuomba
Nonsense
Waheshimiwa hamjambo
Mke wangu hivi karibuni amepata kazi baada ya kuwa mama wa nyumbani tangu tuoane, sasa kumekuwepo na changamoto ya usafiri asubuhi wakati wa kwenda kazini, tunafanya kazi uelekeo tofauti wa jiji hili la dar,
Sasa kuna huyu jirani yangu, anafanya kazi uelekeo wa kazini kwa wife, na ana gari, huwapa lift wapangaji wake wawili wa kike wanaoishi single na wife wangu anakua wa tatu
Nilimzuia mke wangu kuipanda lift hiyo kwa sababu mbali mbali ikiwemo sifa mbaya za jamaa huyo za uasherati, ameshashikwa uzinzi na mkewe mara kadhaa, lakini kubwa zaidi ni kuwa huyu jirani kuna wakati nakua sina gari either imeharibika au haipo home kwa sababu flani flani, huyu jirani hunipita kituoni kama hanioni vile, ila akiwakuta kituoni wanawake wa mtaani atasimamisha gari na kuwaita kuingia hata bila wao kuomba
Sasa mm huwa namuacha mke wangu nyuma asubuhi naondoka asubuhi sana, kumbe huku nyuma huwa anapanda lift ya lile liasherati kinyume na amri yangu, jirani yangu mwingine ndie amenishtua kwa kuniuliza ""yaani unamruhusu shemeji apande lift ya lile jitu? Ndipo nikashtuka nilikua sina habari, jioni yake nilipomuuliza wife kulikoni, akadai huwa anapanda kwa kuwa kunakua na wanaweke wengine pia, nikamuuliza huwa mnashuka wote kituo kimoja? Akajibu vituo tofauti, nikamkata makofi mengi sana wife, nikamwambia ni marufuku kupanda lift ya binadaam yeyote yule wa jinsia ya kiume, hata ikibidi kutembea kwa miguu atembee kama hakuna public means au lift za wanawake
Cha kushangaza lift za wanawake wenzao zimejaa tele mtaani, ukiuliza kwa nn usipande lift ya flani ambae ni mwanamke mwenzio utasikia ooh yule anaringa na kigari chake,
Yaani upo radhi kujipeleka mdomoni mwa li mamba kisa flani anaringa na kigari chake
Sasa ngoja nije nisikie tena amepanda lift ya hilo jitu,
Nonsense
Wanaume wa ******* sana jamaa akimzingua huyo mwingine lazma aje alipize kisasi kwa kummega mke wa jamaa ili kumwonesha kweli yy ni kidume!! jamaa kama mjanja mbadilishe ratiba amwahishe mke kazini halafu yy aendelee na mishe zake au amwachie mke gari kumpiga mke siyo kuluhishoYou are a man..Nakubaliana na juhudi unazofanya kulinda ndoa yako..makazie huyo kama vp kampige mkwara jamaa asimzoee mkeo maana atakuletea aibu kwny ndoa yako..
Kwa hii comment nimeamua kuzongeza siku mbili za kuoaHaaaa haaaa hilo lijamaaa ni shida lazima atammega mkeo hakuna jinsi we tulia tu.
kikubwa si wanapakia wengi mkuu,angekuwa anapakia mwenyewe hapo ndio shida
hakuna jambo linalouma kama kumegewa wife wako aisee usiombe ikakutokea unaweza kuua mtu bila kusudio pole sana mwelekeze mkeo aachane na mpango huo yy apande usafiri wa kawaida kama nyumbani bado hamjapata usafiri wenu avumilie kipindi hiki kifupi asije akakukasirisha zaidiAcha nijikusanye sanye, hali ikieleweka nitafanya hivyo mkuu