Hamna haja ya kusumbuana naye. Inawezekana alikuwa na kijamaa chake, sasa kimemzingua ndio akakufanya wewe Backup yake.Nimepata Stori kwa marafiki zetu hapa ofisini, jinsi anavyoumia kunipoteza, lakini kwa hapa nilipofikia Siwezi kurudi nyuma, na najitahidi sana kutompa nafasi ya kuwa karibu na mm asije akanibadilisha mawazo.
Asikushughulishe,focus na maisha yako mpya na huyo angekupa tabu sana,shukuru mungu amekuepushia,na itafika mda atataka akupe japo bure uonje tuu lakini kua mwanamme mwenye msimamo sema NO...Kuna Dada tunafanya nae kazi hapa katika kampuni moja ya vinywaji baridi. Kiukweli ni mwanamke niliyekua nampenda sana, lakini kila nikijaribu kumueleza hisia Zangu kwake, na kwamba nina mipango mizuri kwake, Lakini amekua akinizungusha na kuniletea Vikwazo kibao, mwisho nikaamua kuachana na nae nikaendelea na maisha yangu, Hivi karibuni nilipata Msichana tukaanzisha uhusiano, nimeshakwenda kujitambulisha kwao na hivi karibuni namtolea mahari. Sasa hiyu Dada kasikia hizi habari, jana kanipigia simu kuniuliza nikamwambia Yes! Naoa hivi karibuni. Amenuna sana, na ameniblock hata kwenye whatsap. Ofisini hanipi Hi tena. Hivi ni haki kweli katika hilo.
Mkuu mbona hujibu PM yangu?Hamna haja ya kusumbuana naye. Inawezekana alikuwa na kijamaa chake, sasa kimemzingua ndio akakufanya wewe Backup yake.
Tell her: If I was your Backup then, I am corrupted, find other way!
Huyo alikuwa anakupenda sanaNimepata Stori kwa marafiki zetu hapa ofisini, jinsi anavyoumia kunipoteza, lakini kwa hapa nilipofikia Siwezi kurudi nyuma, na najitahidi sana kutompa nafasi ya kuwa karibu na mm asije akanibadilisha mawazo.