Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
764
1,879
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
 
Aisee. Mwanaume asipomuogopa Mungu ndo mambo yanakuwa hivyo.
Nikisema kumuogopa Mungu sisemi kujua Maandiko, hata Shetani anafahamu vizuri sana kuliko mwanadamu yeyote.

Sema ulikosea sana kuchoma nguo zake. Ungemove on tu.
Anachomaje nguo za mwenzake? Ukute mkaka alijipinda akaingia maduka ya wool worths?

Si angelia tu jamani? Kama alikuwa na hasira sana?
Ukute anachoma nguo afu ye mwenyewe ni mwenzetu wale tunapelekega boxer na saa na soksi.
 
Ushauri wangu kwako.
Hili jambo ni zito sana.
Cha kufanya ulipoanzia malizia.
Choma kila chenye kuhusiana na "My guy" wako nguo, chumba, majirani zake wakatamate piga kiberiti, sehemu anafanyia kazi piga kiberiti, usiache kitu.

Anakuumizaje mtoto wa watu usie na makuu.

Ukikamilisha hilo zoezi nicheki PM, tunahitaji mchoma taka magereza.
 
Back
Top Bottom