Nimekuta ARVs kwa mpenzi wangu

Ivi ingekua kweli unayo yasema ungepata wapi nguvu ya kuandika? umekua member jana leo unaanza na uwongo, halafu tabia gani mbaya mwanamme mzima kupekura handbag ya mwanamke wako mna share hiyo handbag nae? shame on U..
labda wanashare.mimi kusema ukweli sijawahi pekua handbag ya Pendo,Nyemo,Neema,Dinah,Eliza wala Sarah.aah na Loveness,sijawahi asilani
 
Ivi ingekua kweli unayo yasema ungepata wapi nguvu ya kuandika? umekua member jana leo unaanza na uwongo, halafu tabia gani mbaya mwanamme mzima kupekura handbag ya mwanamke wako mna share hiyo handbag nae? shame on U..
Sure
 
Kupekua pochi za wanawake hiyo ni dalili za mambo makuu mawili .

Una element za u-marioo(kupenda mwanamke akugharamie)

Una pepo la wizi

Hii chai yako ya moto na joto limezidi hainyweki
Kwa self defense inarihusiwa, hutakiwi kumuamini kupita kiasi MTU, una malengo mfuatilie taratibu bila mwenyewe kujiajua, kama hivyo kumbe anatumia ARV huoni ingekuwa ni tatizo? Kuna tabia za baadhi ya wadada na wakaka ni chafu.

Mtu anajijua ameathirika anaamua kuwaumiza wenzake kimakusudi kabisa, sasa hapo inakuwa ni issue nyengine, kwa uchunguzi kama huo mimi nauita ndio uanaume. Isiwe tu kwa wizi, dunia yenyewe hii imeshabadilika, hujui nani wa kumuamini na nani wa kutokumuamini.
 
Kwa self defense inaruhusiwa, wala sio makosa, nyie mbona mnapekuaga sana mnapoachwa kwenye maghetto, kila kona kila pembe mnapekua.
Self defense gani unayo ongelea hapa? mwanamme anatakiwa awe na Hadhi ya Kiume,mwanamke kupekua akiwa ghetto ikiwa imemwambia akusafishie sasa hiyo sio kupekua anasafisha,na still huwezi kijifananisha na mwanamke eti sababau yeye kapekua sasa kuna tofauti gani baina ya wewe na huyo mwanamke wako? lazima mwanamme utunze hadhi yako jamani..
 
kwan ndo mlikutana Mara ya kwanza au ulishakula sana mzigo Jana ndo ukakimbia?
 
Self defense gani unayo ongelea hapa? mwanamme anatakiwa awe na Hadhi ya Kiume,mwanamke kupekua akiwa ghetto ikiwa imemwambia akusafishie sasa hiyo sio kupekua anasafisha,na still huwezi kijifananisha na mwanamke eti sababau yeye kapekua sasa kuna tofauti gani baina ya wewe na huyo mwanamke wako? lazima mwanamme utunze hadhi yako jamani..
Wengi wameupata ukimwi kwa kuaminiana kama unavyosema wewe, kuna jamaa hapa street alikuwa akibadilisha wanawake kama nguo, jamaa alikuwa yuko safi kidogo.

Akaja akatafuta binti wa kichaga na kuamua kutulia naye, kumbe alipojigundua kuwa amekwishaathirika ndipo alipoamua kutulia na huyo Dada wa watu.

Siku hiyo dada wa watu anafanya usafi ndani ya nyumba na kupekua pekua, ndipo alipokutana na vitu vya kushtusha na kuogofya, vilikuwa ni vidonge vya ARV na card iliyokuwa na HIV test results, ambapo ilisomeka positive, kamwe usimwamini MTU usiyemjua katika maisha haijalishi yuko nadhifu kiasi gani wala yupoje, mdada wa watu alipiga yowe kubwa sana mpaka baadhi ya majirani wakafika kujua kulikoni huwenda ana mapepo, ndipo waliposhuhudia hilo tukio, mwisho wa siku mdada alikimbia kusikojulikana na yule mkaka baadae alifariki.

Kwa tahadhari ni muhimu USIMWAMINI MTU USIYEMJUA HATA KIDOGO. Umemkuta tu mtu yupo singo anakutongoza unaenda tu kuvunja naye amri ya sita bila kizembezembe bila tahadhari, itakutokea puani. Ni mbay
 
Unapopata nafasi mchunguze hata kwenye pichu bila mwenyewe kujua, dawa tu wamekuandikia shake well before use, sembuse binadamu mwenzako, unamtumia tu bila ya kuanza kushake well kwanza.
 
Member mzoefu kaamua kuja na ID mpya, na stori za kutunga ili avune likes na views... Pole yako.... Natarajia kuona nyuzi nyingi za uwongo kutoka kwako.
 
Kwa self defense inarihusiwa, hutakiwi kumuamini kupita kiasi MTU, una malengo mfuatilie taratibu bila mwenyewe kujiajua, kama hivyo kumbe anatumia ARV huoni ingekuwa ni tatizo? Kuna tabia za baadhi ya wadada na wakaka ni chafu.

Mtu anajijua ameathirika anaamua kuwaumiza wenzake kimakusudi kabisa, sasa hapo inakuwa ni issue nyengine, kwa uchunguzi kama huo mimi nauita ndio uanaume. Isiwe tu kwa wizi, dunia yenyewe hii imeshabadilika, hujui nani wa kumuamini na nani wa kutokumuamini.

Mwanaume kamili hana time ya kuchunguza handbag ya mwanamke kwa kisingizio cha kupeleleza elements za tabia mbaya. Ni mwanaume mwenye element za wizi ndio anapekua handbag ya mwanamke. Ni wizi tu huo tabia gani mbaya ambazo mwanamke anazihifadhi kwenye handbag? Sema tukufundishe mbinu za kumchunguza mwanamke sio unavuta papuchi tu ya dakika tano tu (short time) halafu bado unajitia ubingwa wa kupekuwa pochi. Mwanaume kamilifu haingizi mkono kwenye pochi bali huingiza mkono kwenye papuchi
 
Baada ya maandalizi ya Mapenzi Mubashara mimi ndie nieanza kwenda kuoga baada ya mimi kumaliza ndipo zamu ya Kimada changu ndio nilipoanza kuwa mpekuzi wa ghafla katika mkoba nakutana na Maharage ya kichina ndani ya mkoba aisee sikula Mzigo nilipata Hernia ya ghafla na mdada alistaahabu na kunipa pole na asubuhi nilisepa ghafla na hadi jana nimemkimbia sipatikani kwa number take.

Hukuwa na kondomu?
 
Kaka mmoja alikua anadate na msichana mzuri tena anafanya kazi bank, baada ya mwaka mmoja wa mahusiano waliamua kufanya come and we stay, siku moja dada yuko kazini, kazini kwa yule kaka amepata safari ya ghafla, alimtumia tu whatsup message mdada kuwa ninasafiri, akiwa anapanga nguo zake nyumbani ndiyo lile shati mbona silioni, kutafuta katika sanduku la dada anakutana na ARV's.

Kaka alipata wazimu, alivunja vitu ndani ya nyumba, alipopata akili vizuri alipack vitu vyake, ile safari alikwenda aliporudi alianza maisha kwingine. Uzuri dada alikuwa undetectable kwahiyo hakumuambukiza, lakini kitendo cha kumficha kilikuwa kibaya sana.
 
Wengi wameupata ukimwi kwa kuaminiana kama unavyosema wewe, kuna jamaa hapa street alikuwa akibadilisha wanawake kama nguo, jamaa alikuwa yuko safi kidogo.

Akaja akatafuta binti wa kichaga na kuamua kutulia naye, kumbe alipojigundua kuwa amekwishaathirika ndipo alipoamua kutulia na huyo Dada wa watu.

Siku hiyo dada wa watu anafanya usafi ndani ya nyumba na kupekua pekua, ndipo alipokutana na vitu vya kushtusha na kuogofya, vilikuwa ni vidonge vya ARV na card iliyokuwa na HIV test results, ambapo ilisomeka positive, kamwe usimwamini MTU usiyemjua katika maisha haijalishi yuko nadhifu kiasi gani wala yupoje, mdada wa watu alipiga yowe kubwa sana mpaka baadhi ya majirani wakafika kujua kulikoni huwenda ana mapepo, ndipo waliposhuhudia hilo tukio, mwisho wa siku mdada alikimbia kusikojulikana na yule mkaka baadae alifariki.

Kwa tahadhari ni muhimu USIMWAMINI MTU USIYEMJUA HATA KIDOGO. Umemkuta tu mtu yupo singo anakutongoza unaenda tu kuvunja naye amri ya sita bila kizembezembe bila tahadhari, itakutokea puani. Ni mbay
Sasa ku pekua Bag na HIV vinauusiana vipi? kwani akifungua Hand bag ndio itamwambia kua huyu mtu ni Positive?
kua makini ni muhimu huwezi ukamuamini mtu na maisha yako just like that.....
 
Back
Top Bottom