Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 614
- 361
Hahahaaaa!!!! undugu na mtikila tena? sina mkuu wanguMkuu huna undugu na marehemu Mchungaji Mtikila?
Kesi ni ushahidi na ushahidi wangu uko vizuri lazima not nishinde.Hahaha, hivi sheria ikoje? Kama unashindwa kesi kama iyo usije ukalipia wewe gharama za kesi.
hahaaaaaaaaaaaaaction speaks louder than words.....
M nilipata Buku eti daaah yaan kwenye mabilioni napewa BukuMi mpaka leo tarehe 4-7-2016 wananiambia nitapata gawio langu kabla ya tarehe 31-06-2016. Sasa najiuliza hiyo tarehe ni ya jupiter au! Manake huku kwetu ishapita.
hahahahaha undugu na mtikila?Mkuu huna undugu na marehemu Mchungaji Mtikila?
M nilipata Buku eti daaah yaan kwenye mabilioni napewa Buku
Wakuu salam,
Nimekusudia kuwafungulia mashtaka Vodacom Tanzania kwa kushindwa kulipa Mpesa faida yangu ya mwezi uliopita bila maelezo yoyote suala ambalo limeleta usumbufu katika shughuli zangu za kiuchumi
Ifike mahali tukatae kudanganywa na Vodacom, ninakamilisha kuongea na wanasheria wangu ili suala hili lifike mahali panapostahili kisheria.