Nimekula pilau, udumu undugu wetu milele.

Nimekula sana siku ya jana, familia nne tofauti nimegonga msosi. Unafutwa tu nyumbani twende mama, au shekhe anakuita lt. Na hivi jana nimeshinda nybambani duh hawa jamaa siku kama hizi hawana noma kabisa. Carry on being generous dear muslims.
 
sisi tulikuwa na michezo ya football,mashindano ya kukuna Nazi kwa wanaume,mashindano ya kuosha vyombo bila kutumia stili waya kwa wanaume,mbio fupi kwa wazee,mbio fupi kwa watoto,kukimbia ktk gunia na tuliwaalika ndugu zetu ktk utu na ubinadamu (wakristo) tumesheherekea pamoja pia ktk jukwaa tukawapa nafasi ya kuongea wazee maarufu ktk mitaa bila kujali dini yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom