Mbona amesema bila godoroSikushauri kununua godoro na kitanda used, labda hivyo vingine.
Kuna ulazima wa kununua hivyo vitu?.Bujeti yangu ni TSH 1M ninatafuta
1. Kitanda used bila godoro
2. Sofa zilizo kwenye hali nzuri
3. TV flat screen size yoyote
4. Friji used