Niliwahi kusikia Mbinguni wataingia watu laki moja tu, haya ni ya kweli?

Hivi ndivyo nilivyosikia .

Hao watu laki moja ni kina nani kama ni kweli ?

Umati Wa Watu Waliokombolewa​

Ufunuo 7:9 Kisha nikatazama, nikaona umati mkubwa wa watu ambao hakuna mtu awezaye kuwahesabu: watu wa kila taifa, kila kabila, kila jamaa na kila lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi na mbele ya Mwana-Kondoo. Walikuwa wamevaa mavazi meupe na wameshika matawi ya mitende mikononi mwao. 10 Nao walikuwa wakisema kwa sauti kuu, “Ukombozi hutoka kwa Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na kwa Mwana-Kondoo!” 11 Na wale malaika wote wakasi mama kuzunguka kile kiti cha enzi na wale wazee na wale viumbe hai wanne, wakaanguka chini mbele ya kile kiti cha enzi wakamwab udu Mungu, 12 wakisema, “ Amina! Sifa na utukufu na hekima na shukrani na heshima na nguvu na uweza ni za Mungu wetu milele na milele! Amina”. 13 Kisha mmoja wa wale wazee akaniuliza, “Hawa watu waliovaa mavazi meupe, ni kina nani? Nao wametoka wapi?” 14 Nikamjibu, “Bwana, wewe ndiye unayefahamu.” Naye akasema, “Hawa ni wale waliotoka katika ile dhiki kuu; wameosha mavazi yao katika damu ya Mwana-Kondoo yakawa meupe kabisa. 15 Kwa hiyo, wanakaa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na kumtumikia katika Hekalu lake usiku na mchana; naye aketiye katika kile kiti cha enzi atakuwa pamoja nao na kuwalinda. 16 Kamwe hawataona njaa wala kiu tena; jua wala joto kali halitawachoma tena. Kwa maana Mwana-Kondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchun gaji wao. Naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uzima; na
 
Shukrani
 
1721328919848.jpg
 
Ehhh na kule Mexico wanauza viwanja kabisa..wahi kabla havijaisha " wajinga ndio waliwao"
 
Back
Top Bottom