NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,571
- 13,399
Bado Kuna Changamoto kubwa sana katika kikosi Cha Simba sc.
Kinachoendelea ndani ya kikosi ni uhuni wa wazi wazi, wachezaji wapya waliokuja hawana tofauti na wale waliotolewa(achwa) ndani ya kikosi Cha Simba sc.
Kocha Benchikha alituma Mapinduzi cup Kama michuano ya kufanya mazoezi (kutengeneza fitness) kwa wachezaji lakini hakuna kitu walichogain /hakuna mabadiliko.
Kwa kikosi hiki Simba sc kuchukua kombe labda /kuwafunga Azam labda makosa ya kibinadamu kwa marefa yatumike tofauti na hapo Simba sc itaangukia pua nafasi ya nne au Ya tatu.
Simba sc ipo mikononi mwa TFF na Bodi ya ligi.