Nilichogundua Watanzania wengi ni watu wafupi

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
10,381
18,029
Siku mbili tatu hizi nilikuwa na miahadi ya kukutana na wanasiasa fln ambayo hapo kabla sijawai kukutana nao Zaid sana kuwaona kwenye tv na magazetini tu

Aiseee mtu nilikuwa namuona kwenye tv pande fln hv limeenda hewani dah kumbe tv hazileti sura kamili ya muhusika jamaa Ni mfupi alfu mjuaji mbishi kinoma

Lkn pia nikakutana na msaani wa kike mm siku zote nikajuwa Ni karefu kumbe nae ndio kbsaa kafupi kuliko mwanasiasa yule

Hoja

Wanawake zaeni na wanaume warefu na uolewe na mwanaume mrefu

Lakini pia Kama wew ni mfupi tafuta mwanamke mrefu zaa naye watoto upate watoto warefu na werevu

Mwisho kbsa watu wafupi acheni ubishi na ujuaji mwingi
 
Weka kipimo cha urefu na ufupi...
Ukiwa chini ya 176cm wewe ni mfupi
20240126_201210.jpg
 
Back
Top Bottom