Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Ipaki kwako badala ya kufanya kazi? hahahaha! kazi kwelikweli!. Unataka mali isiyohamishika? Tehe!Uko wapi mkuu
Ikiwa ina kiwanja chenye hati sawa. Gari hapana, ni very risk.
Labda hiyo gari ije ipaki kwangu katika kipindi hicho.
Mkuu nimesema hivyo baada ya ku-assess risk ikiwa utaendelea kuitumia na ikapata ajali kugongwa, kugonga kuharibika au kushikiliwa na polisi. Kwangu mimi gari sio dhamana ya uhakika ndo maana nikasema uipaki kwanguIpaki kwako badala ya kufanya kazi? hahahaha! kazi kwelikweli!. Unataka mali isiyohamishika? Tehe!
Watu kama nyie ni wagumu kulipa madeni. Imenitokea mara mbili na sirudi tena.
Mkuu acha masihara kwenye masuala ya msingi. Jamaa ana shida wewe unaleta masihara. Shame on youKama umeoa, weka mkeo bond, utapata hiyo hela faster.
Unajua masihara wewe? Mke ni dhamana tosha, ndo maana kwenye nyumba za kupanga wapangaji wengi wanapangisha mtu mwenye mke au familia. Mi nilivyosema kuweka mke bond sikumaanisha ulivyovikiri wewe kwa akili yako.Mkuu acha masihara kwenye masuala ya msingi. Jamaa ana shida wewe unaleta masihara. Shame on you
Kabisa mkuu. Utajikuta unajua polisi na mabaunsa wote hapa mjini kisa 3.5m.kukopesha hela ni kujitafutia ugonjwa wa moyo
Ok bhana basi tufanye akili zetu wote zipo dakika chache mbele kama za kwako.Unajua masihara wewe? Mke ni dhamana tosha, ndo maana kwenye nyumba za kupanga wapangaji wengi wanapangisha mtu mwenye mke au familia. Mi nilivyosema kuweka mke bond sikumaanisha ulivyovikiri wewe kwa akili yako.
Kaka usilalamike sana, we kama uko serious mpe Mshikaji hiyo pesa, hakuna haja ya dhamana, atakulipa tu maana jamaa anaonekana hana masihara wala siasa, mi namuaminia sana ( lakini simjui)Ok bhana basi tufanye akili zetu wote zipo dakika chache mbele kama za kwako.
WaTanzania tunakuwa watu wa ajabu ajabu sana wapenda masihara na siasa kwenye mambo serious.
Nonesense
Kaka usilalamike sana, we kama uko serious mpe Mshikaji hiyo pesa, hakuna haja ya dhamana, atakulipa tu maana jamaa anaonekana hana masihara wala siasa, mi namuaminia sana ( lakini simjui)
Hahahaha! interesting!Kama umeoa, weka mkeo bond, utapata hiyo hela faster.
Pamoja mkuu, kila la kheri kiongozi.Wakuu, nshafanikiwa kusolve issues zilizokuwa zimejitokeza. Nawashukuruni sana nyote na niwatakieni kila la heri katika kujenga uchumi wenu binafsi na wa nchi kwa ujumla.
Nirudie tena shukurani sana.