ATM ya benki gani inatoa laki tano kwa mkupuo Mkuu?Hivi nikienda kwenye mashine ya kutolea hela A.T.M pale nikaingiza kadi yangu na nikatoa 50,000. Wakati nimeandika elfu hamsini ikatoka laki tano na risiti ikatoka kuwa nimetoa elfu 50. Hapa swali ni je?? Hiyo hela ilozidi itakuwa imetoka kwenye acount yangu??
Msaada wakuu hapo napatwa na mkanganyiko!!