kukumsela JF-Expert Member Oct 13, 2018 725 916 Sep 23, 2023 #1 Habari wakuu, Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote. Je hili tatizo linaweza kutokana na simu kudumbukia kwenye maji? Tafadhali naomba kuwasilisha tafadhali. Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Habari wakuu, Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote. Je hili tatizo linaweza kutokana na simu kudumbukia kwenye maji? Tafadhali naomba kuwasilisha tafadhali. Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
kukumsela JF-Expert Member Oct 13, 2018 725 916 Sep 23, 2023 Thread starter #4 eliudcoster said: Duu weka boot system vizur Click to expand... Kivp Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
eliudcoster said: Duu weka boot system vizur Click to expand... Kivp Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Jul 10, 2022 1,053 1,308 Sep 24, 2023 #6 Vesper-valens said: Google pixel used zina matatizo sana Click to expand... Aliyekwambia nani
Vien JF-Expert Member Mar 6, 2020 6,135 9,193 Sep 25, 2023 #7 Mtukutu Mkuu said: Aliyekwambia nani Click to expand... We unasubir uambiwe? Kama ni hvyo ndo nakuambia hizo.simu hazifai kabisa
Mtukutu Mkuu said: Aliyekwambia nani Click to expand... We unasubir uambiwe? Kama ni hvyo ndo nakuambia hizo.simu hazifai kabisa