Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

Kuna ukweli hapa
 

Attachments

  • 1456667343413.jpg
    1456667343413.jpg
    19 KB · Views: 25
Kuna boya mmoja nae anasemaga hivohivo haezi oa mwanamke aliesoma .... Namwangaliaga tu maana ni mpuuzi mmoja asiejielewa
 
bado hujachelewa kaka unaweza rudi mkayajenga tena upya ,hii kama bado hajaolewa lakini,
pia jifunze kuwa na msimamo binafsi kaka
 
Mkuu pole sana nami nko na msomi wangu ila ntakomaa nae tu kwan tumetoka mbali saaana na tunapendana pia,so haya ya vijiwen nlishayapuuzaga tu ikijatokea matatizo yatakua ni sehemu ya maisha tu..
 
Mimi nikiona demu msomi ndio humshobokea kwa nguvu zangu zote. manake mke mbulula mtoto atakuja kuwa msukule bure.
 
Ndo maana unaambiwa vyakuambiwa fikiria na akili yako kwanza kama vipo applicable ndo u apply sio tu kila unachoambiwa unachukulia hivyo hivyo huo ndo mshahara wa ulichomfanyia mwenzako ambaye alikua kakuamini na kukukabidhi moyo wake ila hebu jaribu kwenda kuongea nae anaweza kukuelewa
 
Si kila unachosoma hapa unabeba.....

Kuna wengine wanajifanya hawahongi humu....kumbe mtaani wanauza hadi mali za urithi

Kuna wanajifanya wao kupiga wake zao ni simple tu kumbe wakifika hiko wanakuwa wapoleeeeeeee

Kuna wanaojifanya wanawake hawawasumbui wakifika huko wanakuwa wadogoooooo kama mbegu ya mchicha....


Pole sana
 
Back
Top Bottom