Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 76,095
- 120,643
Watu wengi wanachanganya atheism na nihilism.Hii kitu naona hata Kiranga kaikataa
Atheist ni mtu anayekataa uwepo wa Mungu tu. Mtu anaweza kukataa uwepo wa Mungu halafu akaona anaweza kuyafanya maisha yawe na maana, akawa anafanya research ya kisayansi kugundua dawa ya kansa, kwa sababu haamini kuwa maombi kwa Mungu yatasaidia, kwa sababu Mungu hayupo.
Nihilist wa kweli haoni maana yoyote ya maisha, na hivyo kufanya research ya kupata dawa ya kansa kwake ni contradiction.