Night message To You

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Usisahau kuwa unyenyekevu na uaminifu ni vitu muhimu vinavyoitajika ili uweze kung'ara katika vipindi mbalimbali kwenye maisha yako....

Kweli ni kwamba ukitaka kufanikiwa zaidi, usiache vitu ivi viwili vikae mbali nawe..

Sali na omba Mungu kwa pale ambapo umepungukiwa vitu ivi, Maan ameahid tukiomba lolote katika jina la Yesu limekuwa letu bila shaka...

"Mithali 29:23 kiburi cha mtu kitamshusha chini ila yeye aliyemnyenyekevu rohoni atapata heshma...

Night message to you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…