Night club-ushauri

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Hi wanabodi hamjambo,
Ndani ya mwezi mmoja toka sahii natarajia kufungua nite club ambayo itatarget watu wa hali ya kati na juu..

Naomba wenye uzoefu wanipe experience yakurun hii biznez, wateja pia unaona nn huwa kinakuvutia zaidi nk, na pia kama kuna chochote unachoweza kunishauri tukafanikikiwa..

Pls karibuni kwa mawazo
 
Location, security, ambience, parking space, drinks ( liquors,beers,cocktails n mocktails) .. Prices..., servers (waitress /waiters and bouncers)
 
Unataka kufungua mkoa gani, bajeti yako ikoje, uzoefu wako nao ukoje,
 
eleza una target mkoa upi wilaya ip ama ni katika majiji ya tanzania safari njema ya mafanikio club inalipa kama utakuwa na totoz za kutosha na lady free katkat ya week.
 
Habari yako chief ntaku pm namba ya jamaa mmoja anaitwa richy hzo ndy shuguli zake Ali design pub iliyo ndani ya bar yetu jamaa Yuko vzuri sana jamaa his the best

Ova
 
Nshaku pm namba ya jamaa we mcheki tu,ukichonga naye atakupa full info

Ova
 
hajaombaa
Habari yako chief ntaku pm namba ya jamaa mmoja anaitwa richy hzo ndy shuguli zake Ali design pub iliyo ndani ya bar yetu jamaa Yuko vzuri sana jamaa his the best

Ova
hajaombaa mtu wa kudisign bt namnaa ya kurun by yhe way mi nakushaur kwanza waudumu wawe wanaojielewaa,dj mzuri,vinywaji na vyakulaa bilaa kusahau kareoke iwepo mengine utajuaa baada ya kufunguaa alhamis ladyz freee uweke piaa
 
Hadi ushauri atampaa pia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…