Nigeria yataka kumrudisha Anthony Joshua kuwakilisha nchi yao, mikakati yaanza

Kwa heshima na hadhi aliyopewa uingereza pale wembley (zaidi ya waingereza 90,000 walikuwa nyuma yake) , asirudi kabisa Nigeria . Watu muhimu ambao anatakiwa kuwakumbuka Nigeria ni mama yake mzazi na familia yake basi. Hili ni funzo kwetu wafrika, kwani wengi wetu tuna roho mbaya, atusapotiani (tunaongoza kwa kukosoa) na unafiki
 
Kabisa Mkuu viongozi wa Africa wana roho mbaya sana. Angalia jinsi Diaspora wabongo walivyoachwa solemba kuhusu uraia wa nchi mbili wakati majirani zetu wote wanaruhusu hili. Sasa subiri mmoja wa Watanzania hawa apate umaarufu mkubwa duniani katika nyanja yoyote ile hapo ndiyo tutaona unafiki wa viongozi kwa jinsi watakavyojipendekeza kuwa karibu naye hata kama alishachukua uraia wa nchi anayoishi.

Wapumbafu tu hao ndiyo shida yetu waafrika wanaona kaanza kupata mafanikio ndiyo kujipendeza kuna anza walikuwa wap awali kutambua na kuheshimu kipaji chake
 
Dah, kama ni kweli..... Ndio asili yetu, tunapenda sana good outcome lakini hatutaki kabisa kujishughulisha kwenye maandalizi ya kupata hayo mafanikio.
 
Back
Top Bottom