jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,009
- 38,302
HahahaaaAlijua kila jambo ni amri, mtu anaanza na mtaji 0 mpaka anakuwa billionaire wewe unampangia hujawahi hata kuuza vitumbua, hiyo haipo popote duniani.
Sijakuelewa dingiHahahaaa
Kwamba kodi ingekuja kama mana jangwani
tatizo si UKUSANYAJI MAPATO (Ukusanyaji KODI)Hakuna nchi inayobaki salama hata baada ya kui-abuse sekta binafsi!!!
Hata Tanzania ya Baba wa taifa ilikuwa mbaya kwa sababu walii-abuse sekta binafsi!!!
Kila mwaka wanatikisa Utalii, unategemea nini?
VAT mwaka jana in short notice
Concession Mwaka huu again in Short notice
Utalii haukuwi inapotakiwa
Ethiopia, Mauritius ---Tourism income is amazing
Sasa Tanzania ina vivutio exclusive...lakini Zero Bashite planning
Umelewa?unabwabwaja tu.
Sijazungumzia suala la kodi bali nimezungumzia suala la ku-abuse private sector! Na hapo tukaja kuaminishwa wafanya biashara na matajiri ni wezi na wapiga dili! Hata akina sie ambae mwanzoni kabisa tulianza kulalamika kwamba huko tunakoenda sio kuzuri nasi tukaambiwa tulizoea kuishi kwa madili na lazima tuisome namba!!!tatizo si UKUSANYAJI MAPATO (Ukusanyaji KODI)
Tatizo ni pale MKUU WA KAYA anapotaka WAPIGA DILI waishi kama MASHETANI....
Tunao umia ni sisi WANANCHI wa kawaida (hohe hahe)
Hii ishu ya concession nayo ni hatari. Ngoja tuone inakwendaje.CCM Wabunge wanaoua utalii kwa kupitisha budget ya Maghembe Kishabiki
kesho utalii utadumaa kabisa....CCM Wataunda tume na kumtumbua Maghembe