Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,200
Sukari bei juu!

Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!

Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!

Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!

Nishati ya mafuta bei juu!

Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!

Mfumko wa bei!

Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
 
Ila hapo hapo tunahakikishiwa kwamba uchumi wa nchi umepanda na uko imara.

Hapo hapo tunasifika kimataifa kwa kudumisha diplomasia ya uchumi na kuwa mstari wa mbele kuendana na mfumo wa dunia.

Hapo hapo tunafadhilika, tunasaidika na kukopesheka kuliko wakati mwingine wowote.
 
Na bado, 24 na 25 atahujumiwa balaa. Watu wapo kimkakati sana miaka hii miwili.
 
Sukari bei juu!

Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!

Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!

Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!

Nishati ya mafuta bei juu!

Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!

Mfumko wa bei!

Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
hizi ni ndoto za kwenye sofa kwa jirani 🐒
 
Sukari bei juu!

Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero...
Mimi sijaona any flagship project ya awamu ya 6. Ni waoga wa project kubwa kubwa. Hatuwezi kufanikiwa kwa kuogopa kuanzisha project kubwa yenye kutuhitaji kukuna vichwa mara kwa mara.
By 2017(miaka miwili baada ya kuingia madarakani), JPM alikwishaanza;
1. Kuifufua ATCL
2. Renegotiation kwenye mikataba ya uchimbaji wa baadhi ya madini
3. Kuifufua TTCL
4. Ujenzi wa SGR
5. Ujenzi wa JHNPP
6. Ujenzi wa Tanzanite Bridge
7. Ujenzi wa Kigogo Busisi.
JPM hakusema namalizia kwanza za JMK.
 
Kupitia uongozi wa huyu mama inapaswa iwe fundisho juu ya kuchukulia nafasi ya umakamo wa raisi kwa uzito wake.
Ilishazoeleka kuwa makamo wa raisi anaishia kukata tepe za vyoo katika uzinduzi, akimaliza muda wake anakula pension.

Inapaswa kuanzia sasa atakaeteuliwa umakamo wa raisi awe na upeo na uelewa wa uongozi ili likitokea la kutokea tuwe na raisi wa kweli na sio mauza uza.
Makamo wa Raisi wa ovyo awe yeye wa mwisho.

Leo hii mambo yanakwenda ovyo ovyo sababu ya kosa la kupuuzia dhamira ya hasa ya umakamo wa raisi.
 
ongezea Fry over ya Tazara na Ubungo
 
Nadhani katiba iangaliwe katika hili, sehemu nyingi makamu wa raisi ni weaker kulinganisha na raisi. Ukimuweka makamu stronger kutakuwa na shida.

Hapa ikiwezekana 90days baada ya raisi kufa uitishwe uchaguzi mwingine.
Kupitia uongozi wa huyu mama inapaswa iwe fundisho juu ya kuchukulia nafasi ya umakamo wa raisi kwa uzito wake.
Ilishazoeleka kuwa makamo wa raisi anaishia kukata tepe za vyoo katika uzinduzi, akimaliza muda wake anakula pension.

Inapaswa kuanzia sasa atakaeteuliwa umakamo wa raisi awe na upeo na uelewa wa uongozi ili likitokea la kutokea tuwe na raisi wa kweli na sio mauza uza.
Makamo wa Raisi wa ovyo awe yeye wa mwisho.

Leo hii mambo yanakwenda ovyo ovyo sababu ya kosa la kupuuzia dhamira ya hasa ya umakamo wa raisi.
 
Sukari bei juu!

Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!

Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!

Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!

Nishati ya mafuta bei juu!

Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!

Mfumko wa bei!

Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
Si Doto Magari yupo? Mtaalam na mshauri wa uchumi.
 
Sukari bei juu!

Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!

Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!

Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!

Nishati ya mafuta bei juu!

Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!

Mfumko wa bei!

Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
Suzy hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji. Limeaminiwa na wananchi lakini limeishia kuwatelekeza wananchi. Lipo mafichoni mpaka sasa hivi
 
Sukari bei juu!

Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero!

Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao!

Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki!

Nishati ya mafuta bei juu!

Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao!

Mfumko wa bei!

Ajabu, anaendelea kubembeleza Watumishi wa Umma.
Nchimbi naye anasema watumishi wa umma wasidharirishwe;yaani Makonda kuwataka Watumishi wajibu kero za Wananchi ni kuwadharirisha!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom